Key: auto auto ·
Orig: auto ·
Capo:
·
Time: 4/4 ·
check_box_outline_blankSimplify
chord-pro
www.khmerchords.com/chords/5554421
There was a formatting error in your song. Please check for missing brackets or invalid structure.
Intro
Bbm Fm Cm Fm
Bbm Fm
Yeah
Cm Fm
You gotta love it
Bbm Fm
Eyo whats happening (Hao)
Cm Fm
OG (Hao)
Bbm Fm
Masauti Kenyan Boy (Hao)
Cm Fm
Whats good? (Hao)
Hook
Bbm
Wanaona mwangaza
Fm Cm Fm
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Bbm
Lakini tunapambana
Fm Cm Fm
Ila mziki majanga lazima tu wanene
Chorus
Bbm Fm
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Cm Fm
Ila wanadidimiza (Hao)
Bbm Fm
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Cm Fm
Ila wanadidimiza (Hao)
Verse 1
Bbm Fm Cm
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Yeah)
Fm Bbm
Ku appologise ia watu haujakosea (Preach)
Fm Cm
Ka we ni msofti utasema wanakuonea (Why?)
Fm Bbm
Ka we ni mjanja itabidi umezoea (Now)
Fm Cm
Watakutusi ndio u-catch na wacheke
Fm Bbm
Wakishakutusi mara that, hao wasepe
Fm Cm
Udaku inapigwa na kasheshe
Fm Bbm
Ukianguka kwa sakafu unapigangwa mateke
Fm Cm
Kukua celebrity gharama (Gharama)
Fm Bbm
Ju wakishakujua ni lawama (Lawama)
Fm
Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama
Cm Fm Bbm
Sai Twitter mmegeuziwa ye ni mtoto wa Diana
Fm Cm
Hakuna huruma siri ni kulenga tu (Kulenga tu)
Fm Bbm
Coz if it ain't don't k**l you then inakujenga tu
Fm Cm
Na bado kuna fans wanakupenda tu
Bbm
Azziad usijali, hivi ndo vile kuenda boo
Fm
Si nyi hu-troll Simple Boy ka kila siku
Cm Fm Bbm
But Kipchoge akivaa nguo the same mnamsifu
Fm
Inauma kupambana na hizi issues
Cm Fm
But brathe usijali we zoea hizi vitu
Hook 1
Bbm
Wanaona mwangaza
Fm Cm Fm
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Bbm
Lakini tunapambana
Fm Cm Fm
Ila mziki majanga lazima tu wanene
Chorus 1
Bbm Fm
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Cm Fm
Ila wanadidimiza (Hao)
Bbm Fm
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Cm Fm
Ila wanadidimiza (Hao)
Verse 2
Bbm Fm Cm
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Why?)
Fm Bbm
Your downfall ndo mbogi huwanga inangojea (Really?)
Fm Cm
Leo watakuchocha vile uko juu unapepea (Mmm hmm)
Fm Bbm
But kesho ka shetani watakukemea (Riswa)
Fm Cm
Remember Esther Arunga na huzzy yake Hellon?
Fm Bbm
It's so sad wamefungwa, ju sai ni ma felon
Fm Cm
Walitrend tukawacheka when they needed help (Why?)
Fm Bbm
Tukaangalia when they busy destroying themselves
Fm Cm
Ni poa tuweke imani kwa Yesu
Fm Bbm
Woi Jimmy Gait si ye huona siku mrefu
Fm Cm
Tumemtroll bila kujiuliza question (Like what?)
Fm Bbm
Like what if that nigga fell in depression?
Fm Cm
Papa Denis alidedi tukamchangishia
Fm
Tuka-type Rest In Peace tukimpandisia
Bbm Fm
Ati tuko sad na tunajua vile alikapitia
Cm Fm Bbm
We tu ni ku-troll ni ka haujui kitu inaeza kufanyikia
Fm Cm
Mulamwa ameshachoka amedai zii
Fm Bbm
Ju ya matusi toka Twitter mpaka IG
Fm Cm
Mi ni gangsta mkinitroll haiwasaidii (Kwenda!)
Fm Bbm
Buda OG huwa zogo shinda 5G (Staki!)
Fm Cm
Mmefanya mpaka Pozee amewacha injili (Hahhaha)
Fm Bbm
Ameacha kuimba mangoma za Holy Spirit (Kweli?)
Fm Cm
Ju mnapenda ongeza chumvi pia na pilipili (Ala?)
Fm Bbm
10 over 10 hamtaki sai mnatusi Willis (Woo!)
Fm
As if mmekuwa forced kutazama
Cm Fm Bbm
Nyi ni fans in denial so of-course mnajifanya (Okay)
Fm
Kukuwa celebrity kuwa ready for drama
Cm Bbm
Omba God akubless na self-esteem ya pastor Ng'ang'a (Woo!)
Fm Cm
Na confidence ya Orie Rogo Manduli (Manduli)
Fm Bbm
Na will-power ya John Pombe Magufuli (Magufuli)
Fm
And though wengi watasema ni kiburi
Cm Fm
But that's the only way utaezana na hawa mabully
Hook 2
Bbm
Wanaona mwangaza
Fm Cm Fm
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Bbm
Lakini tunapambana
Fm Cm Fm
Ila mziki majanga lazima tu wanene
Chorus 2
Bbm Fm
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Cm Fm
Ila wanadidimiza (Hao)
Bbm Fm
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Cm Fm
Ila wanadidimiza (Hao)
Outro
Bbm Fm
Watakushow ati hauwezi fika mbali (Hao)
Cm Fm
But ni wivu tu jo wamejaa makali (Hao)
Bbm Fm
Comment section wamejazana upuzi (Hao)
Cm Fm
Lakini DMs same haters bado groupies (Hao)
Bbm Fm
Ukikafunga hivi waskiangi fiti (Hao)
Cm Fm
Wanatamani kuishi maisha we unaishi (Hao)
Bbm Fm
So hata waki-hate haina ngori uko mbele (Hao)
Cm Fm
Get a life nigga punguza kelele (Hao)
(Hahahahaha)











