Hello
- Dela
Key: auto auto ·
Orig: auto ·
Capo:
·
Time: 4/4 ·
check_box_outline_blankSimplify
chord-pro
www.khmerchords.com/chords/395260
There was a formatting error in your song. Please check for missing brackets or invalid structure.
Intro
Em G D C
Verse 1
Em G D C
Hello, ni mimi
Em G D
Ni mimi, baada ya miaka na mikaka
C Em G D C
Je twaweza kukutana, turejelee yote?
Em G
Wanasema muda unaponya
D C
Mbona bado ninaumwa?
Verse 2
Em G D C
Hello, Waniskia?
Em G D C
Niko pwani nikiota juu ya vile tulikuwa
Em G D C
Kama vijana tulipokuwa huru
Em G D C
Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke
Pre-Chorus
Em D Bm C
Tofauti baina yetu
Em D C
Ni maili milioni
Chorus
Em C G D
Hello toka kwa mataa (kwa mataa, kwa mataa)
Em C G D
Mara elfu kakupigia (pigia, pigia)
Em C G D
Kuomba msamaha, Kwa niliyotenda
Em C G D
Lakini mteja hapatikani
Em C G D
Helo toka kwa mataa
Em C G D
Hauwezi sema sijajaribu (jaribu, jaribu)
Em C G D
Basi nisamehe, kwa kuvunja moyo
Em C G D Em G D C
Lakini ni kama, Haikujalishi kamwe
Verse 3
Em G D C
Hello, waambaje?
Em G D C
Ni kawaida yangu kujizungumzia. O, niwie radhi
Em G D C
Natumai, utaniwia radhi
Em G D C
Je, uliwezahama toka ule mji uliyokuboesha?
Pre-Chorus
Em D Bm C Em D C
Sio siri kuwa mi na we Tunapitwa na masaa
Chorus
Em C G D
Hello toka kwa mataa (kwa mataa, kwa mataa)
Em C G D
Mara elfu kakupigia (pigia, pigia)
Em C G D
Kuomba msamaha, Kwa niliyotenda
Em C G D
Lakini mteja hapatikani
Em C G D
Helo toka kwa mataa
Em C G D
Hauwezi sema sijajaribu (jaribu, jaribu)
Em C G D
Basi nisamehe, kwa kuvunja moyo
Em C G D Em G D C
Lakini ni kama, Haikujalishi kamwe
Bridge
D G Em C
Kamwe (Helo helo)
D G Em C
Kamwe (Helo helo)
D G Em C
Kamwe (Helo helo)
D G
Kamwe (Helo helo)
Chorus
Em C G D
Hello toka kwa mataa (kwa mataa, kwa mataa)
Em C G D
Mara elfu kakupigia (pigia, pigia)
Em C G D
Kuomba msamaha, Kwa niliyotenda
Em C G D
Lakini mteja hapatikani
Em C G D
Helo toka kwa mataa
Em C G D
Hauwezi sema sijajaribu (jaribu, jaribu)
Em C G D
Basi nisamehe, kwa kuvunja moyo
Em C G D Em G D C
Lakini ni kama, Haikujalishi kamwe











